Papa Sixtus V, O.F.M.Conv. (13 Desemba 152127 Agosti 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili/1 Mei 1585 hadi kifo chake[1]. Alitokea Grottammare, Ascoli Piceno, Italia[2].

Papa Sixtus V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti.

Alimfuata Papa Gregori XIII akafuatwa na Papa Urbano VII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.