Papa Urban II
Papa Urban II, O.S.B. (1042 – 29 Julai 1099) alikuwa Papa kuanzia mwezi Machi 1088 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Otho wa Lagery.
Alimfuata Papa Vikta III akafuatwa na Papa Paskali II.
Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |