Papa Viktor III
(Elekezwa kutoka Papa Vikta III)
Papa Viktor III, O.S.B. (takriban 1026 – 16 Septemba 1087) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Mei 1086 au 9 Mei 1087 hadi kifo chake[1]. Alitokea Benevento, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Dauferius (Desiderius).
Alimfuata Papa Gregori VII akafuatwa na Papa Urbano II.
Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |