Papa Urban VIII

Papa Urban VIII (Aprili 156829 Julai 1644) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Agosti 1623 hadi kifo chake.

Papa Urbano VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Maffeo Barberini.

Alimfuata Papa Gregori XV akafuatwa na Papa Inosenti X.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.