Papa Yohane IX, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia Desemba 897 au Januari 898 hadi kifo chake mnamo Januari/Mei 900[1]. Alitokea Tivoli, Lazio, Italia[2].

Papa Yohane IX.

Alimfuata Papa Theodori II akafuatwa na Papa Benedikto IV.

Tazama pia hariri

Maandishi yake hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.