Papa Benedikto IV
Papa Benedikto IV alikuwa Papa kuanzia Januari/Mei, 900 hadi kifo chake mwezi wa Julai 903[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Yohane IX akafuatwa na Papa Leo V.
Tazama pia
haririMaandishi yake
hariri- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Norwich, John Julius, The Popes: A History (2011)
- Mann, Horace K., The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. IV: The Popes in the Days of Feudal Anarchy, 891-999 (1910)
- DeCormenin, Louis Marie; Gihon, James L., A Complete History of the Popes of Rome, from Saint Peter, the First Bishop to Pius the Ninth (1857)
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |