Paulo wa Cordoba (au wa San Zoilo; alifariki Cordoba, Hispania, 851) alikuwa mmonaki shemasi wa Cordoba, mfuasi wa Sisenandi, aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu alijitokeza kuungama hadharani imani yake ya Kikristo na kulaumu dini yao [1][2].

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[3] [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. His martyrdom was one of the first in a period of Muslim persecution of the Christians in Al-Andalus, which began in 850 under Abd ar-Rahman II, continued under his successor Muhammad I, and went on intermittently until 960. Cfr. [1].
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/63690
  3. Latin writings of Eulogius pdf downloads at documentacatholicaomnia.eu
  4. Complete Works of Eulogius of Cordoba English translations of Eulogius' writings.
  5. Martyrologium Romanum

Vyanzo

hariri
  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN 0-8153-1426-4

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.