Paulo wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa pamoja na ndugu yake Yohane tarehe 26 Juni 362 kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Juliani Mwasi (361363).

Kifodini cha Wat. Yohane na Paulo, mchoro wa Guercino, 1632.

Inasemekana walikuwa matowashi na mashemasi na walikatwa vichwa vyao.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini na kutajwa pamoja katika kanuni ya Kirumi.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 26 Juni[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.