Pavel wa Taganrog (kwa Kirusi: Павел Таганрогский, Pavel Taganrogskiy, jina la awali Pavel Pavlovich Stozhkov; 21 Novemba 1792 - 23 Machi 1879) alikuwa Mkristo mlei aliyevutia umati wa Waorthodoksi wa Ukraina na Urusi kumuomba sala na mashauri. Kwa njia hiyo aliuhisha imani na maisha ya kiroho ya wengi.

Makazi ya Mt. Pavel wa Taganrog.

Tarehe 20 Juni 1999 Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi lilimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe yake ya kuzaliwa.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.