Pedrog (kwa Kiwelisi; pia: Petroc, Petrocus, Petrek, Perreux; 468 hivi[1] - 564 hivi) alikuwa mwanamfalme[2] na mmonaki wa Welisi, halafu mmisionari huko Cornwall alipokuwa ameanzisha monasteri na shule yake)[3].

Mt. Pedrog katika kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waanglikana na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[4][5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "EBK: St. Petroc, Abbot of Padstow". www.earlybritishkingdoms.com.
  2. "Book of Saints – Petrock". 20 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92830
  4. Martyrologium Romanum
  5. "The Calendar". The Church of England (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 27 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Vyanzo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.