Pelagia wa Antiokia

(Elekezwa kutoka Pelaja wa Antiokia)

Pelagia wa Antiokia alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 4 wa huko Antiokia, leo nchini Uturuki, ambaye baada ya kuishi kwa anasa aliishi kwa toba kali hadi kuharibu afya yake na hatimaye kufa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo kwa Kiswahili hariri

  • S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.

Marejeo mengine hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.