Petr Čech
Petr Čech (amezaliwa Pilsen, 5 Mei 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ucheki, ambaye kwa sasa anaichezea klabu mashuhuri ya mpira wa miguu ya huko Uingereza, maarufu kama Chelsea F.C. na pia timu ya taifa ya Ucheki.
Petr Čech
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ucheki |
Nchi anayoitumikia | Ucheki |
Jina katika lugha mama | Petr Čech |
Jina halisi | Petr |
Jina la familia | Čech |
Tarehe ya kuzaliwa | 20 Mei 1982 |
Mahali alipozaliwa | Plzeň |
Mwenzi | Martina Čechová |
Lugha ya asili | Kicheki |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kicheki, Kijerumani, Kifaransa, Kiingereza, Kihispania |
Kazi | association football player, ice hockey player, Mwanamichezo |
Taaluma | mpira wa miguu, ice hockey |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper, goaltender |
Muda wa kazi | 1999 |
Work period (end) | 2019 |
Mchezo | mpira wa miguu, ice hockey |
Ameshiriki | 2006 FIFA World Cup, UEFA Euro 2004, UEFA Euro 2008, UEFA Euro 2012, UEFA Euro 2016 |
Ligi | Czech First League, Ligue 1, Ligi Kuu Uingereza |
Tovuti | http://www.petr-cech.com |
Senior career* | |||
---|---|---|---|
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
1999-2001 | Chmel Blšany | 27 | (0) |
2001-2002 | Sparta Prague | 27 | (0) |
2002-2004 | Stade Rennais | 70 | (0) |
2004-2015 | Chelsea FC | 333 | (0) |
2015- | Arsenal FC | 104 | (0) |
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
2002–2016 | Ucheki | 124 | (0) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Tuzo
haririChelsea F.C.
haririMshindi
- FA Premier League: 2004-05,2005-2006,2009-2010,2014-2015
- Kombe la FA: 2007, 2009, 2010, 2012
- FA Community Shield: 2005, 2009
- Football League Cup: 2005, 2007, 2015
- UEFA Champions League: 2011-2012
- UEFA Europa League: 2012-2013
Arsenal F.C.
haririMshindi
- Kombe la FA: 2017
- FA Community Shield: 2015, 2017
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petr Čech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |