Petro, Andrea, Paulo na Dionisya

Petro, Andrea na wenzao Paulo na Dionisya (walifariki Lampsako, Misia, leo karibu na Lapseki, nchini Uturuki, 250 hivi) walikuwa vijana Wakristo ambao waliuawa katika dhuluma ya kaisari Decius[1].

Matukio ya kifodini chao yamesimuliwa katika «Acta primorum martyrum sincera et selecta».

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Mei[3] au 18 Mei[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/53310
  2. (Kigiriki) Οἱ Ἅγιοι Πέτρος, Διονύσιος, Ἀνδρέας, Παῦλος, Χριστίνα, Ἡράκλειος, Παυλίνος καὶ Βενέδιμος οἱ Μάρτυρες. 18 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  3. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN|88-209-7210-7)
  4. Saint Herman Calendar 2009, St. Herman of Alaska Brotherhood, Platina, CA, page 42

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.