Petro Spano
Petro Spano (kwa Kiitalia: Pietro Spanò; Calabria, Italia Kusini, karne ya 11 – Ciano, Calabria, karne ya 12) alikuwa mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki maarufu wa ufukara na moyo wa toba, halafu mwanzilishi wa monasteri ya Ciano[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- David Paul Hester. Monasticism and Spirituality of the Italo-Greeks. Volume 55 of Analekta Vlatadōn. Patriarachal Institute for Patristic Studies [Patriarchikon Hidryma Paterikon Meleton], 1992.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |