Petro Wang Zuolong

Petro Wang Zuolong (Shuanzhong, 1842 hivi - Shuanzhong, 6 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyenyongwa hadi kufa kwa sababu alikataa kukana imani ya Ukristo mbele ya sanamu za Kipagani wakati wa Uasi wa Mabondia[1].

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.