Petro wa Chavanon, C.R.S.A. (Lanjac, Ufaransa, 1008 hivi - Pebrac, Ufaransa, 8 Septemba 1080) alikuwa paroko ambaye, akitamani ukamilifu mkubwa zaidi, alianzisha shirika la kikanoni la Kiaugustino [1] ambalo aliliongoza hadi kifo chake.

Mt. Petro akizuia mwamba usiangamize kanisa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Septemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Paris, Paulin. Histoire littéraire de la France: ou l'on traite de l'origine et du progrès, de la décadence (en francès). Boccard, 1841, p. vol.11, p.112.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.