Primo na Felisiani

Primo na Felisiani (walifariki karibu na Mentana, Roma, 297/303) walikuwa ndugu wazee Wakristo wa Roma ya Kale ambao waliuawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Wat. Primo na Felisiani katika mchoro mdogo.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Juni[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.