Prokolo wa Bologna

Prokolo wa Bologna (alifariki Bologna, leo katika mkoa wa Emilia-Romagna, Italia, 304 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa kupigiliwa misumari minene wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian dhidi ya ukweli wa imani hiyo[1].

Sanamu ya Mt. Prokolo iliyochongwa na Michelangelo, Bologna, Italia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 1 Juni[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.