Reinilde, Grimoaldi na Gondolfi
Reinilde (pia: Reinhild, Rainelde n.k.; Condacum, leo nchini Ufaransa au Ubelgiji, 630 hivi; Saintes[1], Hainault, leo nchini Ubelgiji, 700 hivi) alikuwa mwanamke bikira wa ukoo wa kifalme, binti wa mtakatifu Amalberga wa Maubeuge.

Baada ya kuhiji Yerusalemu[2] alijitosa katika matendo ya huruma[3] hadi alipokatwa kichwa na Wahunni pamoja na shemasi Grimoaldi na mtumishi wake Gondolfi.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ Tubize. Communes of Brabant Wallon. Expatriate Online: Your Bookmark to Belgium. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-11-12. Iliwekwa mnamo 2007-02-21.
- ↑ Vita Reineldis, Acta Sanctorum, Julii IV, 173-178.
- ↑ Rabenstein, Katherine (July 1998). Reineldis. Saints O' the Day for July 16. Jalada kutoka ya awali juu ya February 6, 2007. Iliwekwa mnamo 2012-02-23.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje hariri
- Catholic Online entry for Reineldis
- Den hellige Reineldis
- Pictures of Saintes, Belgium Archived 7 Februari 2007 at the Wayback Machine. - includes both the church (eglise) and well (puits) of Saint Reineldis
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |