Robati wa Chaise-Dieu

Robati wa Chaise-Dieu (pia: wa Turlande; Auvergne, Ufaransa, 1000 hivi - Chaise-Dieu, Ufaransa, 17 Aprili 1067) alikuwa mmonaki padri, maarufu kwa kuanzisha monasteri ya La Chaise Dieu wa shirika la Benedikto wa Nursia alipokuwa anaishi kwanza kama mkaapweke, na kwa juhudi zake kwa ajili ya fukara [1][2][3].

Sanamu yake.

Pia alimpatia Mungu watu wengi kwa mahubiri na kwa mfano wa maisha yake.

Alitangazwa na Papa Klementi VI kuwa mtakatifu tarehe 19 Septemba 1531[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Saint Robert of the House of God. Saint Robert's. Iliwekwa mnamo 20 June 2016.
  2. Saint Robert of Chaise-Dieu. Saints SQPN (5 September 2009). Iliwekwa mnamo 20 June 2016.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49850
  4. St. Robert of Chaise Dieu. Catholic Online. Iliwekwa mnamo 20 June 2016.
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.