Rodobaldo II wa Pavia (alifariki Pavia, 12 Oktoba 1254) anakumbukwa kama askofu wa 53 wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 1230 hadi kifo chake [1].

Mtu wa toba halisi, aliwajibika sana kwa ajili ya ibada kwa Mungu na kutafuta masalia ya watakatifu [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 20 Desemba 1888[3]..

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.[4]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Antonio Rimoldi, BSS, vol. XI (1968), col. 276.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91285
  3. Index ac status causarum (1999), pp. 432 e 598.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.