Saar
(Elekezwa kutoka Saarland)
Saar (Kijerumani: Saarland) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni Saarbrücken. Waziri mkuu ni Annegret Kramp-Karrenbauer (CDU).
Jiografia
haririSaarland imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine-Palatino.
Miji mikubwa ni pamoja na Saarbrücken na Saarlouis.
Picha za Thuringia
haririTovuti za Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |