Saba Saba
ukarasa wa maana wa Wikimedia
(Elekezwa kutoka Sabasaba)
Saba Saba ni neno linaloweza kumaanisha
- sikukuu ya Saba Saba ya Tanzania kwenye tarehe 7 Julai katika nchi ya Tanzania ilikuwa kiasili kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha Tanganyika African National Union (TANU) kwenye mwaka 1954, ikasheherekewa baadaye pia kama "Siku ya wakulima na wafanyakazi" na siku hizi inasheherekewa kama "Siku ya wafanyabiashara" ilhali wakulima wamepata sikukuu ya pekee ya Nane Nane kwenye 8 Agosti.
- Saba Saba (maonyesho) nchini Tanzania
- Sabasaba nchini Kenya ni siku ambayo yanakumbukwa maandamano ya 7 Julai 1990 yaliyoleta mwisho wa utawala wa chama kimoja na chanzo cha demokrasia ya vyama vingi
- Saba Saba aka Krazy Native, msanii nchini Uganda
- Sabasaba (Morogoro), kata ya mji wa Morogoro (Tanzania)