Salutari wa Karthago

Salutari wa Karthago (alifariki 505) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini (Tunisia ya leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa alikataa Uario, alipelekwa na Wavandali uhamishoni katika jangwa karibu na Tripoli (Libya) pamoja na Murita wa Karthago.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Julai[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.