Salvio wa Albi
Salvio wa Albi (alifariki Albi, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 10 Septemba 584) alikuwa kwanza mwanasheria, halafu mmonaki aliyelazimishwa kuwa askofu wa mji huo[1].
Baada ya kupewa daraja takatifu hiyo mwaka 574 hakuacha kundi lake hata baada ya njaa na tauni kulipata. Ugonjwa huo ndio uliomuua[2].
Ndugu yake wa mbali, Gregori wa Tours, aliandika habari za maisha yake[3] .
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Clément Compayré, Études historiques et documents inédits sur l'Albigeois, le Castrais, et l'ancien diocèse de Lavaur (Albi, 1841)
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/69730
- ↑ Gregory of Tours, Historia Francorum, Book V, 44 and 50; Book VI, 29; Book VII, 1; and Book VIII, 22
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Histoire des Francs: Livre VII by Gregory of Tours (Kifaransa)
- Book Seven of History of the Franks by Gregory of Tours (Kiingereza)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |