Samori Ture
(Elekezwa kutoka Samori Toure)
Samori Ture (Miniambaladugu, Guinea, 1830 - Ndjole, Gabon, 2 Juni 1900) alikuwa mtawala na mwanzilishi wa Dola la Wasulu katika Afrika ya Magharibi. Aliongoza dola hilo miaka 22.
Samori Ture alipigana na Wafaransa kwa kipindi hicho kuilinda nchi yake. Alikuwa mtawala mkuu wa bara la Afrika katika karne ya 19. Alikuwa babumkuu wa Seku Ture, rais wa kwanza wa Guinea.
Marejeo
hariri- J. F. A. Ajayi (dir.), L’Afrique au XIXe siècle jusque vers les années 1880, vol. VI de Histoire générale de l'Afrique, UNESCO, Paris, 2011 (rééd.) (ISBN 978-92-3-201712-3)
- (en) A. Adu Boahen, African perspectives on colonialism, Johns Hopkins University Press, Baltimore, 1989 (1987), 133 p. (ISBN 0801839319)
- Julie d'Andurain, La capture de Samory, 1898 : l'achèvement de la conquête de l'Afrique de l'Ouest, Soteca, Saint-Cloud, 2012, 208 p. (ISBN 978-2-9163-8545-7)
- Ibrahima Khalil Fofana, L'almami Samori Touré, empereur : récit historique, Présence africaine, Paris, Dakar, 1998, 133 p. (ISBN 2-7087-0678-0)
- (en) L.H. Gann and Peter Duignan (dir.), Colonialism in Africa, 1870-1960, vol. 1, The history and politics of colonialism, 1870-1914, Cambridge University Press, Cambridge, 1969, 532 p. (ISBN 0521073731)
- (en) Bethwell Allan Ogot (dir.), Africa from the sixteenth to the eighteenth century, UNESCO, Paris ; J. Currey, Oxford, 1999, 491 p. (ISBN 0852550952)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samori Ture kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |