Sara wa jangwani
Sara wa jangwani (aliishi katika karne ya 5) alikuwa bikira wa Misri aliyeshika maisha ya mkaapweke huko Skete kwa miaka 60 hivi[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Misemo yake
haririMisemo yake katika tafsiri ya Kiswahili inapatikana ndani ya kitabu:
- Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |