Sinkletika
Sinkletika (270 hivi - 350 hivi) alikuwa bikira wa Aleksandria (Misri) aliyeshika maisha ya mkaapweke badala ya kufuata uzuri na utajiri wake[1] .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Misemo yake
haririMisemo yake nyingi katika tafsiri ya Kiswahili inapatikana ndani ya kitabu:
- Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ From the time she took responsibility for her family's affairs, after her parents' deaths, she gave to the poor all that had been left to her. With her younger sister, Syncletica abandoned the life of the city and instead resided in a crypt, thus adopting a hermitic lifestyle. Her holy life soon gained the attention of locals and, gradually, many women joined her to live as her disciples in Christ. Amma Syncletica is regarded as a "Desert Mother" and her sayings are recorded with those of the Desert Fathers.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Antiochian Orthodox Church Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Monachos Library
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |