Theoktiste wa Lesbo

Theoktiste wa Lesbo (aliishi katika karne ya 9) alikuwa bikira wa kisiwa cha Lesbo (leo nchini Ugiriki) aliyeshika maisha ya mkaapweke katika kisiwa cha Paro kwa miaka 35 hivi baada ya kukimbia hali ya utumwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

      .
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.