Saturnini wa Karthago (padri)

Saturnini wa Karthago (padri) (alifariki 303 hivi) ni kati ya mapadri wa Karthago (katika Tunisia ya leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Diokletian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Februari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saturnini wa Karthago (padri) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.