Sava wa Serbia (kwa Kiserbokroatia: Свети Сава / Sveti Sava; jina la awali: Растко Немањић/Rastko Nemanjić; 117414 Januari 1236), alikuwa mwana wa ukoo wa kitemi nchini Serbia ambaye alijifanya mmonaki katika Mlima Athos, akawa askofu mkuu wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia (1219), mtunzi wa sheria za Serbia (Zakonopravilo), na mwanadiplomasia.

Mt. Sava katika mchoro wa ukutani, Studenica Monastery, Serbia

Kwa kufanya hivyo aliipatia nchi yake uhuru wa kisiasa na wa Kikanisa. Ndiyo maana anahesabiwa kati ya watu muhimu zaidi wa historia ya Serbia.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Marejeo mengine hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.