Sidoni

Sidoni (kwa Kiarabu صيد, Ṣaydā, kwa Kigiriki Σιδών, Sidon) ni mji wa Lebanoni kusini, katikati ya Beirut na Tiro, maarufu katika historia ya kale hasa kwa utajiri uliotokana na biashara yake ya kupitia baharini. Hata leo unategemea sana bandari yake, mbali ya utalii.
Wakazi walikuwa 65,000 hivi mwaka 2000, lakini pamoja na eneo la kandokando wanafikia 200,000[1][2] na kuufanya mji wa tatu nchini Lebanoni.
Katika BibliaEdit
Katika Biblia mji huo unatajwa mara nyingi, kuanzia Kitabu cha Mwanzo hadi Injili na Matendo ya Mitume.
Wengi kutoka maeneo yake walikwenda kumsikiliza Yesu (Mk 3:8; Lk 6:17), naye alitembelea maeneo yake (Mk 7:24; Math 15:21) na kusema ungetubu mapema kuliko Wayahudi wenzake aliowahubiria kwa kuwapa uthibitisho wa miujiza mingi (Math 11:21-23).
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
- Sidon Dump Gets Make Over
- Sidonianews (Sidon News Portal) (Kiarabu)
- Lebanon, the Cedars' Land: Sidon
- Destination Lebanon: Sidon
- (Kifaransa) Fondation Audi (includes a virtual tour of The Soap Museum and other heritage sites in the Old City)
- Sam Houston State University: Nicholas C. J. Pappas: The Inscription on the Sarcophagus of the Phoenician King Eshmunazar
- Notes on Sidon
- Sidon excavations
- watch "Isti'mariyah – windward between Naples and Baghdad"
- SIDON ARABIC WIKIPEDIA
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sidoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |