Injili ya Mathayo
Injili ya Mathayo ni kitabu cha kwanza katika orodha ya vitabu vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.


Huhesabiwa kati ya Injili Ndugu pamoja na Marko na Luka, kwa sababu inafanana nazo kwa kiasi kikubwa; hasa inatumia asilimia 80 ya maandiko ya mwinjili Marko.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Mwandishi hariri
Katika matoleo ya Biblia kichwa cha kitabu ni "Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo" lakini kichwa hiki si sehemu ya toleo asili la Kigiriki.
Ingawa Injili yenyewe haimtaji mwandishi wake, kuanzia Papias (mnamo mwaka 130) Mtume Mathayo ametajwa kama mwandishi wa misemo ya Yesu Kristo kwa lugha ya Kiebrania.
Wataalamu wanajadili kiasi gani maandishi yake yamechangia Injili hii jinsi ilivyo.
Muda wa uandishi hariri
Wakati wa kutolewa unaaminiwa na wataalamu wengi wa kisasa ilikuwa kati ya mwaka 80 na 90, yaani baada ya hekalu la Yerusalemu kubomolewa, tena baada ya Wayahudi kuwatenga wenzao waliomuamini Yesu.
Tabia za Mathayo hariri
Mathayo anakazia kuwa Yesu wa Nazareti ndiye Masiya aliyetangazwa na manabii wa Agano la Kale. Kwa sababu hiyo Mathayo anaripoti maneno ya Agano la Kale mara kwa mara ili kuthibitishwa yametimia katika maisha ya Yesu.
Tabia hii inachukuliwa kuthibitisha maelezo ya kwamba Injili hii ililenga Wakristo ambao walikuwa Wayahudi na kutumia lugha ya Kigiriki.
Mathayo anakazia pia mafundisho ya Yesu ilhali Marko anaeleza zaidi matendo yake.
Nembo ya Injili hariri
Injili hii inaanza kwa kuorodhesha mababu wa Yesu. Kutokana na mwanzo huu, vizazi vya baadaye vilimpa Mwinjili Mathayo nembo la mwanamume au malaika akichora habari za Biblia.
Yaliyomo hariri
- Uzazi na utoto wa Yesu (Mat 1-2)
Ukoo wa Yesu, kuzaliwa kwake, kukimbilia Misri na mauaji ya watoto wa Bethlehemu - Chanzo cha kazi yake huko Galilaya (Mat 3-4)
Yohane Mbatizaji, Yesu ajaribiwa jangwani, Mitume wa kwanza - Hotuba ya mlimani (Mat 5-7)
- Uponyaji na miujiza (Mat 8 – 9,34)
- Hotuba kuhusu umisionari wa wanafunzi
Wito wa mitume 12 (10,1-4), tangazo la mateso yajayo (10,16-26), hofu ya watu na kumhofia Mungu (10,26-33) - Mafundisho juu ya Yohane Mbatizaji, Wafarisayo na walimu wa sheria
- Hotuba ya mifano juu ya Ufalme wa Mungu (Mat 13)
Mfano wa mpanzi (13,1-9; maelezo 13,18-23), magugu katika ngano (13,24-30; maelezo 13,36-43), mfano wa mbegu wa haradali (13,31-32), chachu (13,33-35), hazina iliyofichika (13,44), lulu (13,45-46), wavu wa samaki (13,47-52) - Matendo mengine (Mat 13,53 - 17,27)
- Hotuba juu ya mahusiano kati ya wanafunzi (Mat 18)
- Safari ya kwenda Yerusalemu (Mat 19-22)
- Hotuba juu ya mwisho wa Yerusalemu na mwisho wa nyakati (Mat 23-25)
- Mateso na ufufuko wa Yesu (Mat 26-28)
Marejeo hariri
Ufafanuzi hariri
- Allison, D.C. (2004). Matthew: A Shorter Commentary. T&T Clark. ISBN 978-0-567-08249-7.
- (1988) A Critical and Exegetical Commentary on the Gospel According to Saint Matthew I: Introduction and Commentary on Matthew I–VII. T&T Clark Ltd.. ISBN 9780567094810.
- (1999) A Critical and Exegetical Commentary on the Gospel According to Saint Matthew II: Commentary on Matthew VIII–XVIII. T&T Clark Ltd.. ISBN 9780567095459.
- (1997) A Critical and Exegetical Commentary on the Gospel According to Saint Matthew III: Commentary on Matthew XIX–XXVIII. T&T Clark Ltd.. ISBN 9780567085184.
- Duling, Dennis C. (2010). The Blackwell Companion to the New Testament. Wiley-Blackwell. ISBN 978-1-4051-0825-6.
- France, R.T (2007). The Gospel of Matthew. Eerdmans, 19. ISBN 978-0-8028-2501-8.
- Harrington, Daniel J. (1991). The Gospel of Matthew. Liturgical Press. ISBN 9780814658031.
- Keener, Craig S. (1999). A commentary on the Gospel of Matthew. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-3821-6.
- Luz, Ulrich (1989). Matthew 1–7, Matthew: A Commentary 1. Minneapolis: Fortress Press. ISBN 9780806624020.
- Luz, Ulrich (2001). Matthew 8–20, Matthew: A Commentary 2. Minneapolis: Fortress Press. ISBN 9780800660345.
- Luz, Ulrich (2005). Matthew 21–28, Matthew: A Commentary 3. Minneapolis: Fortress Press. ISBN 9780800637705.
- Morris, Leon (1992). The Gospel according to Matthew. Eerdmans. ISBN 978-0-85111-338-8.
- Nolland, John (2005). The Gospel of Matthew: A Commentary on the Greek Text. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-2389-2.
- Saunders, Stanley P. (2009). Theological Bible Commentary. Westminster John Knox Press. ISBN 978-0664227111.
- Turner, David L. (2008). Matthew. Baker. ISBN 978-0-8010-2684-3.
Vitabu vya jumla hariri
- Aune, David E. (ed.) (2001). The Gospel of Matthew in current study. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-4673-0.
- Aune, David E. (1987). The New Testament in its literary environment. Westminster John Knox Press. ISBN 978-0-664-25018-8.
- Beaton, Richard C. (2005). "How Matthew Writes", The Written Gospel. Oxford University Press. ISBN 978-0-521-83285-4.
- Browning, W.R.F (2004). Oxford Dictionary of the Bible. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-860890-5.
- Burkett, Delbert (2002). An introduction to the New Testament and the origins of Christianity. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-00720-7.
- Casey, Maurice (2010). Jesus of Nazareth: An Independent Historian's Account of His Life and Teaching. Continuum. ISBN 978-0-567-64517-3.
- Clarke, Howard W. (2003). The Gospel of Matthew and Its Readers. Indiana University Press. ISBN 978-0-253-34235-5.
- [1997] (2005) The Oxford Dictionary of the Christian Church, 3, Oxford University Press, 1064. ISBN 978-0-19-280290-3. Retrieved on 2017-04-15.
- Dunn, James D.G. (2003). Jesus Remembered. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-3931-2.
- Ehrman, Bart D. (1999). Jesus: Apocalyptic Prophet of the New Millennium. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-512474-3.
- Ehrman, Bart D. (2012). Did Jesus Exist?: The Historical Argument for Jesus of Nazareth. HarperCollins. ISBN 978-0-06-220460-8.
- Fuller, Reginald H. (2001). "Biblical Theology", The Oxford Guide to Ideas & Issues of the Bible. Oxford University Press. ISBN 9780195149173.
- Hagner, D.A. (1986). "International Standard Bible Encyclopedia, Vol. 3: K-P". In Bromiley, Geoffrey W.. International Standard Bible Encyclopedia, Vol. 3: K-P. Wm. B. Eerdmans. pp. 280–8.
. https://books.google.com/books?id=Zkla5Gl_66oC&pg=PA280.
- Harris, Stephen L. (1985). Understanding the Bible. Palo Alto: Mayfield.
- Levine, Amy-Jill (2001). "Visions of kingdoms: From Pompey to the first Jewish revolt", The Oxford History of the Biblical World. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-513937-2.
- (2009) "Christology", Global Dictionary of Theology. InterVarsity Press. ISBN 9780830878116.
- Luz, Ulrich (2005). Studies in Matthew. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-3964-0.
- Luz, Ulrich (1995). The Theology of the Gospel of Matthew. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-43576-5.
- McMahon, Christopher (2008). "Introduction to the Gospels and Acts of the Apostles", Understanding the Bible: A Guide to Reading the Scriptures. Cambridge University Press. ISBN 9780884898528.
- Morris, Leon (1986). New Testament Theology. Zondervan. ISBN 978-0-310-45571-4.
- Peppard, Michael (2011). The Son of God in the Roman World: Divine Sonship in Its Social and Political Context. Oxford University Press. ISBN 9780199753703.
- Perkins, Pheme (1998-07-28). "The Synoptic Gospels and the Acts of the Apostles: Telling the Christian Story", The Cambridge Companion to Biblical Interpretation. ISBN 0521485932., in Kee, Howard Clark, ed. (1997). The Cambridge companion to the bible: part 3. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-48593-7.
- Saldarini, Anthony (2003). "Matthew", Eerdmans commentary on the Bible. ISBN 0802837115., in Dunn, James D.G. (2003). Eerdmans Commentary on the Bible. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-3711-0.
- Saldarini, Anthony (1994). Matthew's Christian-Jewish Community. University of Chicago Press. ISBN 978-0-226-73421-7.
- Sanford, Christopher B. (2005). Matthew: Christian Rabbi. Author House. ISBN 9781420883718.
- Scholtz, Donald (2009). Jesus in the Gospels and Acts: Introducing the New Testament. Saint Mary's Press. ISBN 9780884899556.
- Senior, Donald (2001). "Directions in Matthean Studies", The Gospel of Matthew in Current Study: Studies in Memory of William G. Thompson, S.J. ISBN 0802846734., in Aune, David E. (ed.) (2001). The Gospel of Matthew in current study. Eerdmans. ISBN 978-0-8028-4673-0.
- Senior, Donald (1996). What are they saying about Matthew?. PaulistPress. ISBN 978-0-8091-3624-7.
- Stanton, Graham (1993). A gospel for a new people: studies in Matthew. Westminster John Knox Press. ISBN 978-0-664-25499-5.
- Strecker, Georg [1996] (2000). Theology of the New Testament. Walter de Gruyter. ISBN 978-0-664-22336-6.
- Tuckett, Christopher Mark (2001). Christology and the New Testament: Jesus and His Earliest Followers. Westminster John Knox Press.
- Van de Sandt, H.W.M. (2005). "Introduction", Matthew and the Didache: Two Documents from the Same Jewish-Christian Milieu ?. ISBN 9023240774., in Van de Sandt, H.W.M, ed. (2005). Matthew and the Didache. Royal Van Gorcum&Fortress Press. ISBN 978-90-232-4077-8.
- (2011) Revisiting the Corruption of the New Testament: Manuscript, Patristic, and Apocryphal Evidence, Text and canon of the New Testament. Kregel Academic. ISBN 9780825489068.
- Weren, Wim (2005). "The History and Social Setting of the Matthean Community", Matthew and the Didache: Two Documents from the Same Jewish-Christian Milieu ?. ISBN 9023240774., in Van de Sandt, H.W.M, ed. (2005). Matthew and the Didache. Royal Van Gorcum&Fortress Press. ISBN 978-90-232-4077-8.
Viungo vya nje hariri
- Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili.
- A textual commentary on the Gospel of Matthew Archived 13 Aprili 2005 at the Wayback Machine. Detailed text-critical discussion of the 300 most important variants of the Greek text (PDF, 438 pages).
- Early Christian Writings Gospel of Matthew: introductions and e-texts.
Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Injili ya Mathayo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |