Sifredi wa Carpentras

Sifredi wa Carpentras (pia: Sifredus, Siffredus, Siffrein; alifariki nchini Ufaransa, karne ya 7) alikuwa askofu wa mji huo[1], anayesemekana aliwahi kuwa mmonaki katika kisiwa cha Lérins[2].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Novemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/79470
  2. "Saint-Siffrein-de-Carpentras". Diocese of Avignon. Januari 15, 2008. Iliwekwa mnamo Novemba 4, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • (Kifaransa) Reyne, André, 1983: Saint Siffrein: évêque et patron de Carpentras. Avignon: Aubanel

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.