Sigimundi Felinski

Sigimundi Szczesny Felinski (Voiutyn, leo nchini Ukraina, 1 Novemba 1822Krakow, Polandi, 17 Septemba 1895) alikuwa askofu mkuu wa Warsaw, mji mkuu wa Polandi, ambaye kati ya matatizo makubwa alijitahidi kupigania uhuru na upyaisho wa Kanisa, ingawa alipaswa kukaa karibu miaka yote uhamishoni.

Picha halisi ya Mt. Sigimundi Felinski.

Pia alianzisha shirika la kitawa la Masista Wafransisko wa Familia ya Maria ili kusaidia umati katika shida zao mbalimbali [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Agosti 2002 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Oktoba 2009.[2][3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91081
  2. Zygmunt Szczęsny Feliński bio from Patron Saint Index
  3. "Eucharistic Celebration for the Canonization of Five New Saints". www.vatican.va. 11 Oktoba 2009. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.