Simon Mbilinyi
Mwanasiasa wa Tanzania
Simon Mbilinyi alikuwa mbunge katika jimbo la Peramiho nchini Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi, pia alikuwa balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Luxemburg kuanzia mwaka 1985 hadi 1989 na aliwahi kuhudumu kama waziri wa fedha kuanzia mwaka 1995 hadi 1996.[1]
Simon Mbilinyi | |
Waziri wa 8 wa Fedha Tanzania
| |
Muda wa Utawala 1995 – 1996 | |
mtangulizi | Jakaya Kikwete |
---|---|
aliyemfuata | Daniel Yona |
utaifa | Tanzanian |
chama | CCM |
ndoa | Prof. Majorie Mbilinyi |
mhitimu wa | Cornell University (BSc) Stanford University (MA) UDSM (PhD) |
Marejeo
hariri- ↑ "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |