Sirili VI wa Aleksandria

Sirili VI wa Aleksandria (Damanhour, 2 Agosti 1902 - Kairo, 9 Machi 1971) kuanzia mwaka 1959 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 116 wa Aleksandria (Misri).

Mt. Sirili VI na rais Gamal Abdel Nasser, Mei 1967.

Tangu tarehe 20 Juni 2013 anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.