Asia ya Kusini-Mashariki
(Elekezwa kutoka Southeast Asia)
Asia ya Kusini-Mashariki ni kanda la bara la Asia lenye nchi zifuatazo:
- Brunei
- Myanmar (zamani Burma)
- Kambodia
- Timor ya Mashariki
- Indonesia
- Laos
- Malaysia
- Ufilipino
- Singapur
- Uthai (zamani Siam)
- Vietnam
Maeneo ya kibara -bila visiwa- yanajulikana pia kwa jina la Indochina.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Kusini-Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |