Greatest Hits (albamu ya Spice Girls)
Greatest Hits ni mkusanyo wa vibao vikali vya kundi la muziki wa pop la Uingereza, Spice Girls. Ndiyo albamu ya kwanza kutolewa baada ya miaka saba na ilisaidiwa na sindikizo la ziara yao ya kimataifa. Ilipata kutolewa moja kwa moja dunia kote mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 2007, kasoro Marekani pekee ambapo ilipata kutolewa mwisho 6 Novemba 2007 na kuja kutolewa ile kamili mnamo 15 Januari 2008.[1] Greatest Hits imeuza takriban nakala zaidi ya milioni 1.7 kwa hesabu ya dunia nzima.
Greatest Hits | |||||
---|---|---|---|---|---|
Greatest hits ya Spice Girls | |||||
Imetolewa | 7 Novemba 2007 | ||||
Aina | Pop, R&B, Europop, dance, pop rock | ||||
Urefu | 54:44 | ||||
Lebo | Virgin, EMI | ||||
Mtayarishaji | Richard Stannard, Matt Rowe, Absolute, Darkchild | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Spice Girls | |||||
|
Orodha ya nyimbo
haririToleo la kawaida
hariri- "Wannabe" (Radio Edit) – 2:56
- "Say You'll Be There" (Single Mix) – 3:58
- "2 Become 1" (Single Version) – 4:04
- "Mama" (Radio Version) – 3:42
- "Who Do You Think You Are" (Radio Version) – 3:46
- "Move Over" – 2:44
- "Spice Up Your Life" (Stent Radio Mix) – 2:56
- "Too Much" (Radio Edit) – 3:53
- "Stop" – 3:26
- "Viva Forever" (Radio Edit) – 4:14
- "Let Love Lead the Way" (Radio Edit) – 4:16
- "Holler" (Radio Edit) – 3:56
- "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:31
- "Voodoo" – 3:11
- "Goodbye" (Radio Edit) – 4:25
Toleo maalumu
hariri- Disc One: Toleo la kawaida[2]
- Disc Two: DVD, containing music videos for:
- "Wannabe" – 3:56
- "Say You'll Be There" – 3:52
- "2 Become 1" – 3:56
- "Mama" – 3:37
- "Who Do You Think You Are" – 3:42
- "Spice Up Your Life" – 3:05
- "Too Much" – 3:50
- "Stop" – 3:31
- "Viva Forever" – 4:10
- "Let Love Lead the Way" – 4:18
- "Holler" – 4:15
- "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:56 (Marekani release only)
- "Goodbye" – 4:35
Box Set
hariri- Disc One: Standard edition
- Disc Two: Special edition (Music Videos)
- Disc Three: Karaoke collection:
- "Wannabe" – 2:54
- "Say You'll Be There" – 3:54
- "2 Become 1" – 4:07
- "Mama" – 3:43
- "Who Do You Think You Are" – 3:45
- "Move Over" – 2:48
- "Spice Up Your Life" – 2:55
- "Too Much" – 3:55
- "Stop" – 3:31
- "Viva Forever" – 4:10
- "Let Love Lead the Way" – 4:26
- "Holler" – 4:10
- "Goodbye" – 4:35
- Disc Four: Remix collection (sio pamoja na toleo la U.S.):
- Wannabe (Motiv 8 Vocal Slam Mix) – 6:21
- Say You'll Be There (Junior's Main Pass) – 8:35
- 2 Become 1 (Dave Way Remix) – 4:02
- Mama (Biffco Mix) – 5:50
- Who Do You Think You Are (Morales Club Mix) – 9:31
- Spice Up Your Life (Murk Cuba Libre Mix) – 8:07
- Too Much (SoulShock & Karlin Remix) – 3:54
- Stop (Morales Remix) – 7:25
- Viva Forever (Tony Rich Remix) – 5:21
- Holler (MAW Remix) – 8:32
- Goodbye (Orchestral Mix) – 4:16
Chati
haririChati (2007) | Nafasi iliyoshika |
Mauzo | Matunukio |
---|---|---|---|
Australian Albums Chart[3] | 1 | 80,000+ | Platinum |
UK Albums Chart[3] | 2 | 360,000+ | Platinum |
European Top 100 Albums[4] | 7 | ||
Estonian Album Chart (Standard CD)[5] | 8 | ||
Argentine Album Chart[6] | 8 | ||
Irish Albums Chart[3] | 9 | 20,000+ | Platinum[7] |
Greek International Albums Chart[8] | 9 | ||
Canada Albums Chart[3] | 11 | 100,000+ | Platinum |
Mexican International Album Chart[9] | 11 | ||
Brazilian Album Charts | 12 | 100,000 | Gold |
New Zealand Albums Chart[3] | 15 | 7,500+ | Gold |
Japanese Albums Charts[10] | 18 | 75,000+ | |
Russian Album Chart (Standard CD) | 20 | ||
Italy Album Charts[11] | 20 | ||
Spanish Album Charts | 23 | ||
French Album Chart | 31 | 20,000+ | |
Mexican Album Chart[12] | 34 | ||
Polish Album Chart | 48 | ||
Sweden Album Chart | 50 | ||
Germany Album Chart | 50 | ||
Switzerland Album Chart[13] | 52 | ||
Estonian Album Chart (CD+DVD Edition)[5] | 54 | ||
Russian Album Chart (Box Set) | 54 | ||
Russian Album Chart (CD+DVD Edition) | 68 | ||
Austrian Album Chart | 70 | ||
Netherlands Album Chart[3] | 73 | ||
Billboard 200 | 93 | 600,000+ [14] | Gold |
Mauoz ya IFPI:1,700,000
Marejeo
hariri- ↑ Article confirming release details for the United States Ilihifadhiwa 6 Januari 2010 kwenye Wayback Machine. Billboard. Accessed 8 Januari 2008.
- ↑ Track listings announced through official website Ilihifadhiwa 11 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.. Accessed 11 Oktoba 2007.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 "Spice Girls - Greatest Hits worldwide chart positions". aCharts.us. Retrieved 19 Novemba 2007.
- ↑ "Billboard.com - Charts - Albums - European Top 100 Albums". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ 5.0 5.1 Estonian Album Chart Ilihifadhiwa 10 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. Retrieved 19 Novemba 2007.
- ↑ "CAPIF Charts - Argentina". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-29. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Greek Intern. Albums Chart Ilihifadhiwa 20 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine. Retrieved 3 Desemba 2007.
- ↑ "Mexican International Albums Chart - 12th December 2007" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Oricon Charts - Japan
- ↑ "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "Mexican Albums Chart - 12th December 2007" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-12-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Swiss Albums Chart
- ↑ Entertainment Weekly. Spice Girls' 'Greatest' already gold Ilihifadhiwa 5 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.. shipped 900,000 copies to retailers Wal-mart.
Viungo vya Nje
hariri- TheSpiceGirls.com - Official website
- The SpiceGirlsGreatestHits.com - Official album website Ilihifadhiwa 11 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Japan Oricon Chart Report Ilihifadhiwa 29 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Greatest Hits (albamu ya Spice Girls) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |