Stanislaus Kostka

Stanislaus Kostka (Rostkowo, leo nchini Polandi, 28 Oktoba 1550Roma, Italia, 15 Agosti 1568[1]) alikuwa mtawa kijana katika shirika la Wajesuiti[2].

Mt. Stanislaus.

Tarehe 9 Oktoba 1605 alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri, halafu tarehe 31 Desemba 1726 akatangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Agosti kila mwaka[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

VyanzoEdit

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.