Stefano wa Lyon (karne ya 5 - Lyon, leo nchini Ufaransa, karne ya 6) alikuwa askofu wa 23 wa mji huo kabla ya mwaka 514[1].

Alitetea imani sahihi dhidi ya Waario walioungwa mkono na mtawala.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 13 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.