Sudan Airways

Sudan Airways (Kiarabu: الخطوط الجوية السودانية‎) ni ndege ya kitaifa ya nchi ya Sudan.

Ndege ya Sudani Airways
Nembo ya Sudan

HistoriaEdit

Sudan Airways ilianzishwa na kampuni ya Sudan Railways mnamo 1947 ili kuhudumu sehemu za nchi ambapo gari la moshi haikuweza kufika. Ilikuwa na ndege nne za aina ya de Havilland hapo awali.

Miji inayosafiriaEdit

AfrikaEdit

Afrika KusiniEdit

Afrika KaskaziniEdit

Afrika MagharibiEdit

AsiaEdit

Ndege zakeEdit

Ndege za Sudan Airways
Aina ya ndege Namba ya ndege zinazotumika Maelezo
Airbus A300-600 3
Airbus A310-300 1
Airbus A320-200 1 Inatumiwa na ndege ya Comoro Islands Airways
Boeing 707 1
Fokker 50 4
Jumla 10

AjaliEdit

  • Mnamo 6 Desemba 1971 ndege yao aina ya Fokker F27 ililazimishwa na majambazi kutua mjini Tikaka. Watu 10 walijeruhiwa.
  • 8 Julai 2003 ndege ya Boeing 737-200 ilipata ajali mjini Port Sudan. Watu 117 walijeruhiwa, na mmoja alifariki.]][1][2][3]
  • Mnamo 10 Juni 2008 - watu 29 walikufa na watu 150 waliokolewa pindi Airbus A310 iliwaka moto kwenye uwanja wa ndege wa Khartoum. Ndege hii ilikuwa inatoka mjini Amman.

MarejeoEdit

  1. "Child only survivor of Sudan crash." CNN. Tuesday 8 Julai 2003. Retrieved on 5 Julai 2009.
  2. "ASN Aircraft accident Boeing 737-2J8C ST-AFK Port Sudan Archived 22 Julai 2011 at the Wayback Machine.." Aviation Safety Network. Retrieved on 5 Julai 2009.
  3. "Lone survivor of Sudan air crash dies." Sydney Morning Herald. 9 Julai 2003. Retrieved on 5 Julai 2009.

Viungo vya njeEdit