Jeddah
Jeddah (kar.: جدّة jiddah huandikwa pia Jedda, Jiddah, Jidda) ni mji mkubwa wa pili nchini Saudia na bandari kwenye mwambao wa Bahari ya Shamu (21.50° N 39.1667° E).
Kuna wakazi milioni 3.4.
Jeddah ni kitovu cha uchumi na biashara cha Saudia.
Waislamu wengi hupita humo wakati wa hajj wakitumia uwanja wa ndege wa Jeddah kwenda kuhiji Makka na Madina.
Miji wenzake
haririMji wa Jeddah una miji wenzake 23 (kwa Kiingereza "twin towns"):
Gallery
hariri-
Eve Grave
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|