Suksesi, Paulo na Lusio

Suksesi, Paulo na Lusio (walifariki 250 hivi) walikuwa maaskofu Wakristo ambao, baada ya kushiriki mtaguso mjini Karthago (Tunisia) waliuawa katika dhuluma ya kaisari Decius.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Januari[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.