Mlangobahari wa Sunda

(Elekezwa kutoka Sunda Strait)

Mlangobahari wa Sunda ni sehemu ya bahari ambayo iko kati ya visiwa vya Java na Sumatra huko Indonesia.

Ramani ya mlangobahari wa Sunda

Inauganisha Bahari ya Java na Bahari Hindi. Upana wake ni km 24.

Katika eneo hili mwaka 1883 ulitokea mlipuko wa volkeno ya Krakatau uliofunika mazingira yote na uvumbi wa majivu yake.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlangobahari wa Sunda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.