Tarafa ya Sandégué


auto

Tarafa ya Sandégué (kwa Kifaransa: département deSandégué) ni moja kati ya tarafa tano za Mkoa wa Gontougo ulioko Kaskazini mashariki mwa Cote d'Ivoire.

Tarafa ya Sandégué
Mahali paTarafa ya Sandégué
Mahali paTarafa ya Sandégué
Eneo la Tafara ya Sandégué.
Imara: 2011
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Zanzan
Mkoa Gontougo
Serikali[1]
 - Prefect N'Guessan Konan Edouard Siba
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 56,215
GMT (UTC+0)

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 56,215.

Makao makuu ya eneo hilo ni Sandégué.

Tarafa ya Sandégué sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:

  • Bandakagni-Tomora;
  • Dimandougou;
  • Sandégué;
  • Yorobodi.

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.