Tarako, Probo na Androniko
Tarako, Probo na Androniko (walifariki Ainvarza, Kilikia, leo nchini Uturuki, 10 Oktoba 304 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |