Telesphore Mkude

Telesphore Mkude (amezaliwa Pinde, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, 30 Novemba 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Alipata upadrisho tarehe 16 Julai 1972.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa tarehe 26 Aprili 1988 kwa ajili ya Jimbo Katoliki la Tanga.

Tangu tarehe 5 Aprili 1993 ni askofu wa Jimbo la Morogoro.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Telesphore Mkude kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.