Terensi na wenzake

Terensi na wenzake (walifariki 251 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa Karthago (karibu na Tunisi ya leo) katika dhuluma ya kaisari Decius.

Kati ya wenzake 45, wanajulikana kwa jina Afrikano, Masimo, Pompeo, Aleksanda na Theodoro[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa hasa tarehe 10 Aprili[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.