Teresa Zhang Hezhi

Teresa Zhang Hezhi (Yuan, 1864 hivi - Zhangjiaji, 16 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Aliburutwa hadi ndani ya hekalu ili aabudu miungu iliyokuwemo, lakini alikataa katakata na kwa ajili hiyo alichomwa kwa mkuki pamoja na wanae wawili[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.